Search lyrics

Typing something do you want to search. Exam: Artist, Song, Album,Writer, Release Year...
if you want to find exactly, Please input keywords with double-quote or using multi keywords. Exam: "Keyword 1" "Keyword 2"

Khaligraph Jones

Genres: Other

Now You Know Lyrics - Khaligraph Jones

Now you know song by Khaligraph Jones featuring Tanzanian artistes Roma and Stamina released on 2018 May 10th 

 

[Intro by Khaligraph Jones] 

heyyyyy,haaah,wooooh! 

Mambo vipi everybody 

see right about now,you are rocking with the best 

OG,Roma,Stamina 

Let's go!! 

 

[Verse 1 by Roma] 

Yo!Si mwingine Mr Bonventure hapa, 

Straight toka Bongo,mpaka Kisumu Naivasha 

Nairobi,Mombasa kila kitu gooda gooda 

Na muda umefika sasa kutuma posa kwa Huddah 

Kucheka cheka na ma stingy sitaki 

Wamesha chezea blocku kwenye simu hawanipati 

Busy natua show collabo za nchi za kati 

nashangaa unae nidisi na huna hata mchongo wa laki 

Madem wawonge nani,labda bundle la chuo 

hatamkisema sisimami,freshi sinanga kituo 

Mjini kupambana,utoke jasho soga nanda 

ukileta stori unabao,na shauri ukajenge banda 

Nilizaliwa niwe Tupaci mmmh,Tupac wa Bongo 

Sema nikanyimwa six packs,na kichwani sina dongo 

Bila mkuyati wala vumbi la Congo 

Madem wanasema smart,yana flesh haina zongo, 

okay...Baba,ngida babayaro 

Rostam collabo na baba yao 

wezo wao,style zao 

napigwa na fikira zao 

so wacha watu dissi na sisi sio size zao 

 

Related 

 

Match These Taylor Swift Songs to Her Ex-Boyfriends 

 

Every Lyric From Keith Urban's New Album 'Graffiti U' 

 

Watch Janelle MonĂ¡e's Sci-Fi film 'Dirty Computer' 

 

[chorus] 

aaah,Nairobi to Dar 

tuko masaa,uliza mitaa kwa ma boss man......eeeeeeh 

hapa tu kazi,vile inafaa 

OG collabo na Rostam........................heeeeeey 

aki ya nani now you know 

aki ya nani now you 

na na na now you know 

na na na now you 

aki ya nani now you know 

aki ya! 

na na na now you know 

na na na now you know....Ya'll 

 

Check Out 

 

Nicki Minaj Drops New Songs 'Barbie Tingz And 'Chun-Li' 

 

Songs That Will Make You Cry Uncontrollably 

 

Watch Zayn's New Music Video For 'Let Me' 

 

23 Boy Band Slow Jams That Made You Believe In Love 

 

[Verse 2 by Khaligraph Jones] 

nahawakuchanuliwa ni akina na nani, 

ndio sahii wana worry 

tume pull up na ndai na ma lorry 

zimejaa ma OGs killas walahi mpaka shorties 

kazi saa hii nikutuchambua ki Saida Karoli 

they call me Mugabe zile pande za Dodoma, 

ata Zimbabwe nina Stamina ya Roma 

that means I can't fall,niko firm ki simiti 

Khali me na stand tall,ju ya fans na sikiki....Omollooo! 

Nikipita mtaa vile wasupaa wana stare 

They know I got the doh me naeka duka jo I swear 

wanapenda ile lugha nawapea 

I don't do cheap liquor,huoni chupa za Belaire 

incase i'm in the stu..then ni verse ndo nachana 

Busy grinding mpaka shati iko na jasho ya jana......Yeahhhhhh! 

You on the top,hizo vako wachana 

I've been rappin toka enzi za Vasco Da Gama 

Me ni msharp toka zama,niko class moja blunder 

kwa darasa ya mziki me ni ka bus ndo kwa maana 

kila wakati nachora nawacha black board alama 

kama Castro I'm bad boy na bado nasimama 

Ujumbe itafika toka mtaa na i'ma YOLO 

I guess that's why nikipiga buzz wana follow. 

I'm only Kong,we umekaa kwa gondoro 

I'm a star me na paa mpaka Dar hadi Molo 

 

[chorus] 

aaah,Nairobi to Dar 

tuko masaa,uliza mitaa kwa ma boss man......eeeeeeh 

hapa tu kazi,vile inafaa 

OG collabo na Rostam........................heeeeeey 

aki ya nani now you know 

aki ya nani now you 

na na na now you know 

na na na now you 

aki ya nani now you know 

aki ya! 

na na na now you know 

na na na now you know.... 

 

[Verse 3 by Stamina] 

Na siyo Zimbabwe tu 

kavuka border kwa mkaburu 

ukiona na leta ubabe ujue hawapendi niwe huru 

na nanyataa,mpaka Kenyattaa....Uhuruuu 

Natekenya paa kwa paa...so piga nduru 

na hii verse nawachinja 

You guys yo wanna made it 

mnataka kupiga binja huku mnatafuna githeri.....hawataweza 

hata saa mbovu kuna muda inasema ukweli 

mbona mnatoka mapovu,mme panic na mme faili 

Me mkatoliki nalindwa na damu ya Christo 

leo Papa Jones umekutana na Papa Benedicto 

so kaloge Kisumu nikulogee Mombasa 

ujue mimba ni sumu mheshimu gumba na tasa....iiiii kwetu Tanzania! 

ma afande hawananga peacee 

Niko Kenya na iko tungi na la mrungi na polis 

usi download pornograph,kwa WiFi ya msikitii 

Hey Khaligraph juu niko chonjo na niko fiti 

na sina mistari mikali juu tu niliandika ghafla 

ila na flow mbaya kama jiko yakipiga chafya 

Ukijichocha me naleta mashauzi 

na tongwe ndo kocha karibu Tanga tuvute pumzi 

 

[chorus] 

aaah,Nairobi to Dar 

tuko masaa,uliza mitaa kwa ma boss man......eeeeeeh 

hapa tu kazi,vile inafaa 

OG collabo na Rostam........................heeeeeey 

aki ya nani now you know 

aki ya nani now you 

na na na now you know 

na na na now you 

aki ya nani now you know 

aki ya! 

na na na now you know 

na na na now you know 

Copyright: Song Discussions Is Protected By U.s. Patent 9401941. Other Patents Pending.