Search lyrics

Typing something do you want to search. Exam: Artist, Song, Album,Writer, Release Year...
if you want to find exactly, Please input keywords with double-quote or using multi keywords. Exam: "Keyword 1" "Keyword 2"

Khaligraph Jones

Genres: Other

Watajua Hawajui Lyrics - Khaligraph Jones

KHALIGRAPH JONES featuring MSUPA S:WATAJUA HAWAJUI song lyrics 2018 May 

 

[Intro:Khaligraph Jones] 

You know we had to make it happen 

Khaligraph Jones 

Msupa S 

You already know 

Go get em girl 

 

[Verse 1 Msupa S] 

You all's not ready 

Hiyo chopper iko steady 

shot shot everywhere(brr rr rr) 

shot shot on the belly 

Umeniona kwenye telly 

Me ni kama Balotelli 

Flow tight kama virgo 

Lakini simaanishi Mary 

He take money from you bitc&#s and he brings it back to me 

I aint twerit about to pites i'ma sip dis Hennessey 

Becoz no kama gonna stuck, blow the kip flikati 

We may run up on your back,if you diss the Kale queen 

Kale queen, mimi staki drama 

wanapenda vile mimi nachana 

Mama we ah nione gah! 

Ah mutingonyo,Ah muntungimye 

geba tu wandonyo,kal tu wanjega 

kyal tu an ingwe,ah kye wegega 

kyam tu animye,ai chap bingwe 

age-lu chegaa,am muno chami 

 

Related 

 

23 One Hit Wonders You Still Can't Get Out Of Your Head 

 

Every Lyric From Keith Urban's New Album 'Graffiti U' 

 

Watch Janelle MonĂ¡e's Sci-Fi film 'Dirty Computer' 

 

[chorus] 

Kayole to Bomet wanapiga saluti brrrrrah! 

mashore na ma fellow, ma diva, ma groupie...... Yeaaahhhh! 

Papa na Msupa S tushajipa mashughuli.......... ahhhhhh! 

So wakijifanya hawajui 

wakijifanya ndo 

watajua hawajui........Ehhhh!(Khaligraph) 

watajua hawajui(Msupa S) 

watajua hawajui........Yeaaahhhh!(Khaligraph) 

watajua hawajui(Msupa S) 

watajua hawajui,.......Buda!!(Khaligraph) 

watajua hawajui(Msupa S) 

watajua hawajui........Jui!(Khaligraph) 

watajua hawajui........Jui!(Khaligraph) 

 

Check Out 

 

Nicki Minaj Drops New Songs 'Barbie Tingz And 'Chun-Li' 

 

15 Huge Stars Who Were Backup Singers First 

 

Watch Zayn's New Music Video For 'Let Me' 

 

The 18 Greatest Revenge Songs of All Time 

 

[verse 2:Khaligraph Jones] 

Endolet nimenunua samba 

Nimefungua mbiasala Namanga 

Bibi ndatoa Gatanga,Mahali ndalipa kama lolo atalamba 

Mimi ni lafiki ya Luto 

Ju ye ndio hunisikia mfuko 

Msupa aliniso wakale wanapesa nikasema ntapitia huko 

Now lets get back to reality 

All of this niggaz you stopping,I might have to get on a track wth the queen 

Girl you're a G an' I'm lovin your confindence 

and on the real,You're on your level 

I love how you pushin your feet on the pedal 

Na mbona mnajifanya hamjui pia me ni mkale? 

Why do you think they call me Julius Yego? 

Ka ni Buzz mimi ni baba Kamiti 

Jeshi ka kura za Tharaka Nithi 

 

John Snow,kwa hii game of thrones 

Ju mikono zangu ndio zina dara Khaleesi 

Me ni msee wa kismaat,para sina 

swara sina na hasara sina 

ukitaka ata unaeza uliza Sara Amina 

nina hype kama ile movie ya Sarafina 

Nilijua tukifanya hii collabo hii industry tutaimess 

Ju track tunaipiga na kale na ina come na mzuka fresh 

So next time you see me salute me ju me ndo the buda yesss! 

Unadhani utaezana na OG akikuja na Msupa S 

 

[chorus] 

Kayole to Bomet wanapiga saluti brrrrrah! 

mashore na ma fellow, ma diva, ma groupie...... Yeaaahhhh! 

Papa na Msupa S tushajipa mashughuli.......... ahhhhhh! 

So wakijifanya hawajui 

wakijifanya ndo 

watajua hawajui........Ehhhh!(Khaligraph) 

watajua hawajui(Msupa S) 

watajua hawajui........Yeaaahhhh!(Khaligraph) 

watajua hawajui(Msupa S) 

watajua hawajui,.......Buda!!(Khaligraph) 

watajua hawajui(Msupa S) 

watajua hawajui........Jui!(Khaligraph) 

watajua hawajui........Jui!(Khaligraph) 

 

[Outro:Msupa S] 

Wakidhani ndarudi chini,watajua hawajui! 

Me nirudi chini bado,watajua hawajui! 

Naenda mbele bado,watajua hawajui! 

Naenda mbele bado,watajua hawajui! 

watajua hawajui!watajua hawajui! 

watajua hawajui!watajua hawajui! 

watajua hawajui!watajua hawajui! 

watajua hawajui! 

 

Kayole to Bomet wanapiga saluti brrrrrah! 

mashore na ma fellow, ma diva, ma groupie...... Yeaaahhhh! 

Papa na Msupa S tushajipa mashughuli.......... ahhhhhh! 

So wakijifanya hawajui 

wakijifanya ndo 

watajua hawajui........Ehhhh!(Khaligraph) 

watajua hawajui(Msupa S) 

watajua hawajui........Yeaaahhhh!(Khaligraph) 

watajua hawajui(Msupa S) 

watajua hawajui,.......Buda!!(Khaligraph) 

watajua hawajui(Msupa S) 

watajua hawajui........Jui!(Khaligraph) 

watajua hawajui........Jui!(Khaligraph) 

Copyright: Song Discussions Is Protected By U.s. Patent 9401941. Other Patents Pending.