Ooh ooh ×2
1.
Salama ulizonitumia zimenifika aah niko salama ata usijal nalishwa
vitamu vinono najilia aah biriani ya ngamia
aah penzi twadalikana koo kidali nimekusahau!
Nakumbuka tu lako jina kidogo angalau ungeng'oa mizizi sioo kukata
shina penzi wakapanda dau mijini baba pesa fitina Mimi
ukanidharau visenti haba mfuko
umechina na ndo uwezo wangu ulipoishia.
ningekupa nini(tena Kula)yangu ya
kupapazia hukumeza ukatema me(sina gariii)×2
Nade nadekezwa×8
2.
Ndani masham shamam mtoto kanibili ooh
hadi nacomecome kumi na mbili alfajijiri
Nanishamvika nyoto cheo chake kikubwa cha mapenzi kanjaza kanchota
kanishika pabaya natuhadharisha simu za usiku
punguzaa unahatarisha penzi Langu moto kuunguza nishakushauu
Related
18 Non-Traditional Yet Perfect Wedding Songs
From MetroLyrics to You: Our Classic Christmas Playlist
Ariana Grande Adds Her Own Verse To "Last Christmas"
Nakumbuka tu lako jina kidogo angalau ungeng'oa mizizi sioo kukata
shina penzi wakapanda dau mijini baba pesa fitina Mimi
ukanidharau visenti haba mfuko
umechina na ndo uwezo wangu ulipoishia.
ningekupa nini(tena Kula)yangu ya
kupapazia hukumeza ukatema me(sina gariii)×2
Nade nadekwa×8
Oooh oooh
Check Out
Watch Ariana Grande's Record-breaking Video for 'Thank U, Next'
15 Huge Stars Who Were Backup Singers First
9 Misheard Christmas Carol Lyrics
27 Best Ever Songs From Movie Soundtracks
Artist: Mew
Artist: Helena Paparizou
Artist: Rasputina
Artist: Whitesnake