Hayeye
Haye hayeye
Hayeye
Nimesota, sina wera
Juzi nilikopa nilipe mama mboga
Hawajui, hawata amini
Juu mi ni mwana mziki na mambo yangu iko fiti
Na huko instagrama, wanadhani nimeosa
Sababu waliona nikikula na Obama
Wengi ni mastar kwa vile wanavyo vaa
Lakini utashangaa, vile wanavyokaa
Wengi hujifanya mambo yao yako sawa
Lakini utashangaa, ni mengi haya ya dunia
Related
Songs That Will Make You Cry Uncontrollably
Watch Will Smith perform to iconic song 'Prince Ali' from Aladdin
Love Stinks, So Here Are 15 Anti-Valentine's Day Songs
Hayeye
Haye hayeye
Hayeye
Chakula githeri chemsha na avocado
Na nina deni ya soo mbili kwa mama Wambo
Sasa nasaka fare anagalau nifike show
Lakini jana si nilikua kwa TV, na juzi pia nilikua kwa gazeti
Mambo yangu yanafaa kuwa fiti
Huko instagrama, wanadhani niko poa
Sababu waliona, ile poster ya Koroga
Wengi ni mastar kwa vile wanavyo vaa
Lakini utashangaa, vile wanavyokaa
Wengi hujifanya mambo yao yako sawa
Lakini utashangaa, ni mengi haya ya dunia
Sio yote yang'aayo ni dhahabu
Watu huficha masaibu kwa tabasamu
Basi sote tuwe wakarimu
Sababu yote yang'aayo si dhahabu
Check Out
Modern Love: The Best Top 40 Love Songs For Valentine's Day
23 Boy Band Slow Jams That Made You Believe In Love
Who Will Perform At The 2019 Grammy Awards?
18 Non-Traditional Yet Perfect Wedding Songs
Wengi ni mastar kwa vile wanavyo vaa
Lakini utashangaa, vile wanavyokaa
Wengi hujifanya mambo yao yako sawa
Lakini utashangaa, ni mengi haya ya dunia
Hayeye
Haye hayeye
Hayeye
Haye hayeye